Nandy: Mimba sio ugonjwa

Nandy: Mimba sio ugonjwa

Aloooooooweee! Aloooootenaaa! Bwana bwana unaambiwa uko mimba sio kitu cha kukufanya ushindwe kufanya mambo yako mengine mfano kazi na mengineyo, maneno hayo yamesemwa na mama k wa Taifa Nandy.

Nandy ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa instagram sambamba na video inayomuonesha kuwa yuko studio akiendelea na kazi zake za muziki na kuandika kuwa “Mimba sio ugonjwa piga mzigo mpaka dakika za mwisho, Sema nimekuwa kama kimtungi cha gesi” Ameandika Nandy

Weeeeeh! Nyie wakina mama k mmeskia maneno hayo au niwaache kidogo, usisahau kufuatilia mitandao yetu ya jamii na kudondosh komenti zako mtu wangu wa nguvu.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags