Wolper kufunga Ndoa November

Wolper kufunga Ndoa November

Ukisia ule msemo wa hayawi hayawi sasa yamekuwa unajua mambo tayari na hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo Baba  watoto wa muigizaji wa bongo fleva Jacqueline Wolper ameweka wazi tarehe ya Ndoa yao.

Baba watoto wa Wolper anayefahamika kwa jina la Rich Mitindo ameweka wazi tarehe ya Ndoa yake na Mpenzi wake Wolper ambayo amesema ni tarehe 19 mwezi wa 11.

Mitindo ametoa kauli hiyo kupitia exclusive interview aliyofanyiwa na chombo kimoja cha habari hapa nchini na kuweka bayana suala hilo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags