Vijana kunyweni pombe zaidi ili kukuza uchumi, Japan

Vijana kunyweni pombe zaidi ili kukuza uchumi, Japan

Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke hii ingekuwa katika serikali yetu ninavyo wajua watu wangelala bar, moja ya taarifa zilizozua taharuki ni nchi ya japan inahamasisha vijana wa nchi hiyo kunywa pombe ili kukuza uchumi wa nchi


'Vijana wa Japani hawanywi pombe vya kutosha''

Mamlaka ya Japan inasema vijana wa kizazi kipya hunywa kiasi kidogo cha pombe kuliko wazazi wao - hatua ambayo imeathiri ushuru kutoka kwa vinywaji kama mvinyo.

Hivyo shirika la kitaifa linalosimamia ushuru limeingilia kati na shindano la kitaifa ili kubadilisha mawazo ya wengi .

haya haya wanangu sana ndondosha komenti yako hapo chini Je unadhani ushawishi kama huu ungetolewa kwenye nchi yako ingekuwaje?

 chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags