Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Msanii wa Maigizo ambae ni mchekeshaji Erick Kisauti 'Ndo hivyo hivyo' amefariki Dunia, Taarifa za kifo chake kimethibitishwa na Muigiz...
Wahenga husema mapenzi ni upofu na hili limethibitishwa na binti wa miaka 15 huko nchini India ambaye alichukua maamuzi wa kujichoma damu ya mpenzi wake mwenye virusi vya ukim...
Aloooooooweee! Aloooootenaaa! Bwana bwana unaambiwa uko mimba sio kitu cha kukufanya ushindwe kufanya mambo yako mengine mfano kazi na mengineyo, maneno hayo yamesemwa na mama...
Duuuuuuu! Ndoto nyingine hizi sio powa yani basi bwana Mwanaume mmoja raia wa nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzik...
Haya haya kwa wale mnaosema Rais wa TFF Wallace Karia kuwa ni mwanachama wa Simba bwana mwenyewe kakanusha leo kaweka wazi kuwa yeye sio shabiki wa timu hiyo.
Aidha Rais huyo ...
Watu nane wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 16,2022 katika eneo ya Shamwengo, Inyala mkoani Mbeya. Kamanda wa Polisi mkoani ...
Helooow! Natumai ni wazima wa afya sasa bwana leo kwenye mahusiano nimekuja kukomesha kile kitendo ama kauli ya kuwa mmezoeana bila ya kujua itaawathiri vipi nyie wote kwa pam...
Ebwana baada kupita mchezo wa ngao ya jamii kati Simba Sc dhidi ya Yanga Sc ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 Msemaji wa klabu ya Simba ameamua kuvunja ukimya.
Kup...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana juu ya Mlima Kilimanjaro...
Oooohooooo! Bwana chibude anawaambia mkae mkao wa kula mana anaingiza kontena jipya hivi karibuni sasa hilo kontena jipya litakuwa na ushahidi ili kuepuka maneno ya kuse...
Mmmmmmh! Haya tukiambiwa tupunguze vitambi hatuskii sasa basi Rais Samia Suluhu Hassan amewataka askari wa uhamiaji ambao wana vitambi warudi chuoni kuviondoa na kuwa wakakama...
Scotland itakuwa Nchi ya kwanza duniani kuanzisha sheria ya kulinda haki ya bidhaa za hedhi na kutolewa bure nchini humo ambapo leo jumatatu sheria ya bidhaa za kipindi itakap...
Mlipuko wa ugonjwa wa Surua nchini Zimbabwe umesababisha vifo vya watoto 80 tangu mwezi Aprili na mamlaka za nchi hiyo zimesema maradhi hayo yamesambaa kote nchini humo.
Taari...
Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine, wanaume huomba wathibitisha ubikira wao jambo ambalo Shirika la Afya Ulimweng...