Alooooooweeeh! Alooootenaah! Basi bwana kwa alichokifanya mzee wakutetema Fiston Kalala Mayele mchezaji wa yanga kuichapa Simba bao mbili katika siku ya ngao ya jamii, shabiki...
Ooooohooooooh! It’s another Monday jamani kama kawaida yetu kwenye ile segment ya mahusiano yani huwa hatufichi kitu waswahili wanasema mambo yote waaaah.
Sasa leo bwana...
Mitandao inachangia sana katika kujenga ama kuharibu watu wa rika mbalimbali. Kutumia vibaya mitandao kuna athari kubwa kuliko watu wengi wanavyodhania na pengine hii ndio sab...
Eeehh bwana eeh! Wazee wa party and adventures, kama kawaida, you know your girl will hook you up with the best of the best.
This week katika BATA BATANI, I’m gon...
Aloooooooooh! Kama tunavyo jua sasa hivi wanafunzi wengi wako katika mafunzo kwa vitendo, sasa hapa tumekuja na mada ambayo itakufanya upate maksi nzuri katika field yako.
Mar...
Ifahamike kuwa sisi sote hufanya makosa na kuharibu mambo mara kwa mara. Kwa kawaida mambo madogo huvuma, lakini unapoharibu jambo kubwa, unaweza kupoteza uaminifu kwa bosi wa...
Ayaaaah!! Huku ndiko walikotokea bwana wakina Madonga mtu kazi, bila kumsahau shujaa wake Shabani Kaoneka. Hivi umewahi kujiuliza mchezo wa ndondi, ngumi au masumbwi ulitokea ...
Weeeuuuuweeeeh! Kama kawaida yetu awamu hii tumekuja kivingine sio powa yaani, kwenye segment ya biashara tunakupatia fursa ambazo zitakukwamua kimaisha.
Watu wengi wanaamini ...
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye:1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi...
Mmmmmmmmh! Usisema maisha magumu sema maisha yangu magumu mwanangu sana, basi bwana Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuweka wazi kuwa yupo katika harakati za kuanzis...
Haya haya kumekucha wajameni, sasa leo katika fashion tumekujia na jambo konki kabisa. Tutaangalia kuhusiana na mavazi mazuri ambayo yatakupendeza na kuonekana wa tofauti ukum...
Bondia maarufu ambae alipata umaarufu huo baada ya kushindwa mpambano wake ameeleza kuwa kwenye upande wa mapenzi aliwahi kutamani kujinyonga kisa mapenzi kwa jinsi ambavyo al...
Hahahahahha! Make hapa kwanza ncheke, ety mwenzetu nawewe unaogeshwa na mkeo au tukuache kidogo, basi bwana yule bondia ambae amepata umaarufu hivi karibuni anaefahamika kwa j...