Chumba alicholala Messi Qatar kufanywa makumbusho

Chumba alicholala Messi Qatar kufanywa makumbusho

Chuo Kikukuu cha Qatar kimetangaza kuwa chumba cha Hoteli alicholala mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi  kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini humo kitageuzwa kuwa Makumbusho.

Chumba hicho ambacho Messi alikitumia na rafiki yake wa karibu Sergio Aguero hakitotumika tena kulala wageni na badala yake kitatumika kama makumbusho madogo nchini humo.



Hii imeripotiwa na chombo cha habari cha QNA nchini Qatar, oooooh! Mwanangu sana embu dondosha komenti yako hapo chini kwa bongo ungependa chumba cha mshambuliaji gani kifanywe makumbusho?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags