Niaje mtu wangu wa nguvu? Kukuletea habari kuhusu wasanii wako ni jukumu langu ndo maana tunazitafuta na kukusogezea stori zote za burudani kwenye ukurasa wetu wa Mwananchi Sc...
Idadi ya waliokufa katika maandamano yanayoendelea nchini Iran imeongezeka na kufika watu sita. Maandamano hayo ambayo yamekuwa yakiendelea mfululizo tangu Ijumaa yamefuatia k...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetoa taarifa ya kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji, Ruvu chini ljumaa October 23,2022, kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa ...
Ebwana mambo vipi? Kitu juu ya kituu hatarii aiseee. Baada ya Mmakonde kuachia ngoma mbili kwa wakati mmoja, basi bhana moja ya stori iliyozua mjadala kwenye mitandao ya kijam...
Aloooooh! Mambo ni mengi, muda ni mchache. Mapenzi jamani haya mmmh! Basi moja ya story kubwa inayotembea sana kwenye mtandao wa kijamii inamuhusu msanii wa bongofleva Ruby &n...
Oooooohooooo! Naona maisha yanazidi kuwa magumu mpaka tunaamua kujiteka wenyewe duuuh! Basi bwana kuna mwanamke mmoja amezua taharuki kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya...
Ebwanaa mambo vipi? Kama kawaida hatupoi wala hatuboi katika kukusogezea habari ili uweze kujifunza na kuburudika. Basi mtu wangu wa nguvu leo na kuvusha border kutoka Tanzani...
Mmmmmmmmh! Yaani sio pouwa kabisa, kila siku mambo yanazidi kutaradadi bwana weeeh! Kama kawaida yetu sisi kila siku tunakusogezea taarifa mbalimbali zitakazokuelimisha, kubur...
Guinea ya Ikweta Afrika ya kati imepiga marufuku hukumu ya kifo na taarifa hiyo imetolewa kupitia televisheni ya taifa hilo ambapo ilitangazwa jana Jumatatu kwamba hukumu ya k...
Hellow! I hope mko good watu wangu wa nguvu. Nadhani mnamkumbuka yule mwamba alietamba katika mchezo wa basketball, basi bwana unaambiwa jezi iliyovaliwa 1998 na Micheal Jorda...
Katika hali ya kustaajabisha na kufurahisha mwanasoka msaafu David Beckham weekend hii aliamua kukaa masaa 12 katika foleni ya kumuaga Malkia Elizabeth II, mjini London.Badala...
Whats up my beautiful people! Its another time bila kupoa tunakusogezea stori moto moto. Ebwana eeenh!! Tanzania ndo inazidi kuchukua nafasi ulimwenguni kuwa miongoni mwa nchi...
Alooooh! Baada ya lile sakata la kusambaa kwa taarifa kuwa bondia maarufu nchini Tanzania Hassan Mwakinyo kufungiwa kupigana nje mwenyewe amefunguka na kusema kuwa hajafungiwa...