Uhispania yamtimua kocha Luis Enrique

Uhispania yamtimua kocha Luis Enrique

Timu ya taifa ya Uhispania imemfuta kazi Luis Enrique baada ya nchi hiyo kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa kufungwa na Morocco hatua ya 16 bora

Uhispania ambayo pia ilifungwa na Japan na kumaliza katika nafasi ya pili katika kundi lao, imemthibitisha kuwa Luis de la Fuente ndie mrithi wa Enrique

Enrique alichukua nafasi hiyo tangu mwaka wa 2018 kutoka kwa Fernando Hierro baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia kwa mikwaju ya penalti na wenyeji Urusi katika hatua ya 16 bora






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags