Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia

Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia

Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji Haramu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya Barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji wa Lusaka

Inaaminika kuwa Watu hao walifariki Dunia kwa kukosa hewa wakiwa njiani wakisafirishwa. Zambia imekuwa ikitumika kama Njia Panda ya Wahamiaji Haramu wengi kuelekea Afrika Kusini

Miili hiyo imehifadhiwa katika Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Mafunzo ya Chuo Kikuu cha Zambia

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags