21
Kivumbi leo Stars kukipiga na Zambia
Baada ya kuanza vibaya ‘mechi’ ya kwanza ya kundi F ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco, ‘timu’ ya taifa...
05
Mpenja kukiwasha Simba day
Baada ya ukimya wa muda mrefu wa mtangazaji wa soka nchini Baraka Mpenja, hatimaye amerudi tena mjini anatarajiwa kukiwasha kesho kwenye Simba day .Mpenja kupitia Instagram ya...
27
Lungu alaani serikali kuchukua mali zake
Rais wa zamani nchini Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kuchukua mali mbalimbali zinazohusishwa na familia yake, na kusema kuwa kitendo hicho kimech...
26
Rostam adhamiria kuwekeza Zambia
Mfanyabiashara kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla Rostam Azizi, ametangaza uwekezaji mkubwa katika gesi ya Liquefied Petroleum Gas (LPG) nchini Zambia, ambao utakuwa...
24
Wafanyabiashara wazuiwa kutoa mahindi nje ya nchi
Wafanyabiashara wa mahindi kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania wameegesha magari yao mpakani mwa Zambia wakishinikiza mamlaka nchini kuzungumza na serikali ya nchi hiyo il...
23
WHO yataja nchi zilizoathirika na kipindupindu
Shirika la Afya duniani (WHO) limetaja nchi ambazo zimeathirika na ugonjwa wa kipindupindu, ambapo shirika hilo limesema kuwa ugonjwa huo umeenea duniani kote, haswa barani Af...
02
Zambia: Marufuku kutumia simu ukiwa unavuka barabara
Askari Polisi nchini Zambia wamepewa ruhusa ya kuwakamata ambao watakataa kutekeleza sheria inayokataza matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo Sikioni (headphones) wakati w...
25
Mwanafunzi aliyeuawa vitani Ukraine kuzikwa leo
Mwanafunzi wa Zambia Lemekhani Nyirenda, aliyefariki September mwaka jana alipokuwa akipigania vikosi vya Urusi nchini Ukraine, anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano. Nyirenda ...
10
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Zambia auwawa na mbwa wake
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo, Philemon Mulala ameuawa na mbwa wake nchini Afrika Kusini. Msemaji wa polisi, Sam Tselanyane, alisema kuwa mke wake al...
26
Rais wa Zambia afuta hukumu ya kifo
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amefuta sheria ya hukumu ya kifo na pia amebadili sheria ya ukosoaji wa Kiongozi wa Nchi kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria. Kupitia mabadili...
12
Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji Haramu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya Barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji wa ...
15
Zambia yataka majibu kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyefariki Ukraine kwa mazingira ya kutatanisha
Zambia imetaka majibu kuhusu kifo cha mwanafunzi Lemekhani Nyirenda, aliyefariki nchini Ukraine kwa mazingira ya kutatanisha.Kijan...

Latest Post