Waziri: Ajira vyuo vikuu kutozingatia ufaulu pekee, waombaji wafanyiwe usaili

Waziri: Ajira vyuo vikuu kutozingatia ufaulu pekee, waombaji wafanyiwe usaili

Serikali imetangaza kuongeza vigezo vya Utoaji Ajira vyuoni badala ya kuangalia ubora wa Ufaulu (GPA), sasa waombaji watapimwa kwa kufanyiwa Usaili

Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda amesema "Zamani ilikuwa rahisi, Profesa ukiandika tu kwenye Magazeti unakuwa Profesa lakini kwa sasa vigezo vimezidi kuwa vigumu sababu tunataka Maprofesa wetu wawe sawa na wale wa Nchi nyingine.”

Aidha, Serikali inaendelea na Ujenzi wa Kampasi mpya za Vyuo Vikuu Mikoa 14 ya Bara na Zanzibar katika maeneo ambayo hayana Vyuo Vikuu ukiacha Vyuo Huria.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post