Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190

Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190

Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190.

Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 na ametajwa rasmi kuwa ndiye kobe mzee zaidi kuwahi kutokea lakini Pia ndiye mnyama mzee zaidi anayejulikana wa nchi kavu.

Kobe huyo anaeishi Saint Helena, kisiwa cha mbali katika Bahari ya Atlantiki Kusini, ambapo inaaminika aliwasili kutoka Ushelisheli mnamo
mwaka1882.



Jonathan alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula keki yenye matunda na mboga mboga anazozipendelea zaidi.


Chanzo St Helena Tourism Board/Facebook






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags