Hellow! It’s another furahi day watu wangu wa nguvu ,sasa leo nimekuja na jambo moja matata sana kwenu nyie wadada. Kama kawaida yetu kwenye kile kipengele cha fashion, ...
Na Mahatma Ulimwengu
Remember, remember, the 5th of November, the gunpowder, treason and plot. For I know of no reason why the gunpowder treason should ever be forgot.
V for V...
Aren’t a fan of watersports? This one might still be the one for you?
Unatamani kupanda farasi? How about farasi kwa beach? Fancy eeh?
Basi let me tell you tu kuwa...
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, ila jamani kuna watu wamevurugwa, basi bwana kutokea huko nchini marekani kijana mmoja kabomoa nyumba ya ex wake kwa kuigonga na lori....
Ehh bwana, mambo yanazidi kuwa mazuri katika uwanja wa burudani.Nyota wa muziki wa miundo ya Hip-Hop, Nicki Minaj ametangaza ujio wa documentary yake mpya iitwayo "NICKI."&nbs...
Unamuomba mwanamke kuonana nae na unamtumia hela, halafu anakujibu "Utume na yakutolea," hayo ndio maisha ya wengi wetu, hasa wale tulio katika mahusiano?Je hali inakuwaje pal...
Hellowo! It’s anather furahi day mtu wangu wa nguvu, kama kawaida yetu week hii nina nyie siwezi acha ongea na nyie labda mje mniue, hahhaha! Jokes, sasa leo nimekuja na...
Wakati fans wakikaa mkao wa kula na kusubiri album ya Renaissance ya msanii Beyonce kutoka Ijumaa ya kesho... watu wasiojulikana wamefanya yao na kuleak album hiyo kabla ...
Msanii maarufu wa RnB na Pop duniani, Chris Brown amejikuta akiingia katika trends mitandaoni baada ya picha alizopiga na fans wake katika event yake ya 'Meet and Greet' kusam...
Ebwana eeeh, tayari Bondia Mkongoman Erick Tshimanga Katompa amewasili Songea Kwa ajili ya Pambano lake dhidi ya Seleman kidunda Litakalo pigwa Julai 30, Mwaka huu katik...
Wananchiiiiii! Aloooooh! Kama nawaona vile watoto wa jangwani yule kijana wa kutetema bado yupo sana, basi bwana akafunguka kuhusiana na uvumi way eye kuondoka Yanga ali...
Weeeuuuweeee! Kama mnavyo jua jana kulipigwa marufuku ya matumizi ya unga wa kuongeza nguvu zakiume inayo julikana kama Vumbi la Kongo, basi bwana leo tumekuletea jambo nyetii...
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, wale vijana mliozoea kutumia mkongo mtaweka api sura zenu hahah! Nawasalimu kwa jina la mkongo
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba asili na ...