Asilimia 95 ya wakimbizi waliopo kasulu hawataki kurejea Burundi

Asilimia 95 ya wakimbizi waliopo kasulu hawataki kurejea Burundi

Kutoka Kigoma Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, Siasa Manjenje, amewambia Viongozi wa Serikali ya Burundi na Tanzani kuwa hofu ya Usalama, ukosefu wa Ardhi, Makazi na Huduma za Kijamii zimetajwa kuwa sababu kuu.

Manjenje amesema hadi kufikia Novemba 28, 2022 idadi ya Wakimbizi wanaoomba Hifadhi Nchini Tanzania waliopo kwenye Kambi hiyo ni 129,870

Januari hadi Novemba 2022, Wakimbizi 1,602 kutoka kambi ya Nyarugusu walirejea Burundi. Wastani wa wanaorejea Burundi ni Wakimbizi 50 hadi 60 kati ya 1400 waliopaswa kurejea kwa wiki.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags