Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa

Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa

Hii imetokea huko nchini Ethiopia ambapo waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa Wafanyakazi zaidi ya 12 wa Kiwanda cha Saruji kinachomilikiwa na Bilionea Aliko Dangote.

Hata hivyo inadaiwa Basi lililokuwa limebeba Wafanyakazi hao Wilaya ya Ada'a Berga (kilomita 90 kutoka Mji Mkuu wa AddisAbaba ) lilitekwa na hakuna tamko kutoka kikundi cha watekaji ambacho kimekuwa kikifanya matukio ya aina hiyo kisha kuomba Fedha.

Aiseeee tunakaribisha comment kutoka kwako mdau juu ya sakata hilo la wafanyakazi wa kiwanda cha dangote waliotekwa funguka hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags