Wema aumizwa na wanaomsema kisa kukosa mtoto

Wema aumizwa na wanaomsema kisa kukosa mtoto

Oooooooooh! Naona kama tunaanza week kibabe hivi wanangu sana, basi bwana yule Tanzanian sweetheart ameamua kutoa povu kuhusiana na baadhi ya watu wakizungumza kuhusu kukosa mtoto, mwanadada huyo akaamua kutoa povu bwana.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram aliandika “Halafu skieni niwaambie msione kwamba basi mkiniambia nimekosa mtoto basi ndo mnaniweeeeeza sawa naumia sikatai na mjue nitazoea sema mnaboa mnaudhi najiskia vibaya sipendi” ameandika Wema Sepetu

Loooooh! Haya wanangu sana embu kujeni kwenye komenti na mtueleze hapa je ni sawa kwa baadhi ya watu kumsema na kumdhihaki kuhusiana na kukosa mtoto?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags