Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

Tukio hilo limetokea huko Italia ambapo inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo aliingia katika mgahawa uliopo Jijini Rome na kufyatua risasi ambazo pia zilijeruhi wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya

Aidha Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57, amekamatwa baada ya kuzidiwa nguvu na raia waliopambana kumdhibiti.

Sambamba na hayo Mmoja kati ya waliouawa ni Nicoletta Golisano, huyu ni rafiki wa Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags