Elon Musk apoteza zaidi ya Trilion 319

Elon Musk apoteza zaidi ya Trilion 319

Mkurugenzi wa kampuni ya mtandao wa Twitter na Mmiliki wa Kampuni ya TESLA Elon Musk  amekuwa mtu wa kwanza kupoteza dola bilioni 200 Sawa na zaidi ya Tsh. Trilioni 466 za kitanzania, kutoka kwenye utajiri wake.

Kulingana na ripoti ya Bloomberg  inaeleza kuwa  Utajiri wake Umeshuka hadi $ 137 bilioni sawa na zaidi ya Tsh. Trilioni 319 kufuatia kushuka kwa hisa za Tesla hivi karibuni.

Hisa za kampuni yake ya magari ya umeme zimepungua kwa karibu asilimia 65. Mnamo Januari 2021, Musk alikua mtu tajiri zaidi ulimwenguni kwa mara ya kwanza, akiwa na utajiri wa zaidi ya $185 bilioni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags