Anjella aiaga rasmi Kondegang

Anjella aiaga rasmi Kondegang

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Anjela Ameiaga Rasmi Lebo yake ya Kondegang inayomilikiwa na Staa wa Muziki Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Kupitia ukurasa wa mwanadada huyo ameandika kuwa “kwaheri kondegang na asanteni sana” ameandika Anjella



Mpaka sasa Uongozi wa Lebo ya kondeganga haujatoa Taarifa Rasmi ya kuachana na Msanii huyo. Embu wanangu sana kujeni tulidadavue hili swala kiundani Zaidi, dondosha komenti yako hapo chini






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags