21
Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha Mjamzito
Taarifa hii imetokea huko mkoani Mtwara ambapo Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limefanya uwamuzi huo kwa wauguzi wasaidizi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Mas...
21
Mandonga: ndoige ni kama palapanda haimuachi mtu salama
Hahahhaa! Make hapa kwanza nchekee, sio powa kabisa yule Mandonga mtu kazi bwana amefunguka na kusema kuwa safari hii amekuja kivingine na kutambulisha ngumi yake mpya inaitwa...
21
Waziri mkuu wa Uingereza ajiuzulu
Waziri mkuu wa Uingereza Liz Truss amejiuzulu. Truss amejiuzulu jana, wiki sita tu baada ya kuchukuwa wadhifa huo, licha ya hapo jana kusisitiza kwamba hatang'atuka mamlakani....
20
Twiga amuua mtoto, Afrika kusini
Oooooh! Watu wangu wa nguvu natumai ni wazima wa afya basi bwana kila siku kunatokea mambo mazito katika hii dunia, kubwa kuliko ni kuhusiana na Twiga kumuua mtoto mchanga wa ...
20
Wanaume wavutiwa na upasuaji wa kufunga uzazi, Kenya
Wanaume wengi nchini Kenya wameanza kuvutiwa na upasuaji wa kufunga mirija ya mbengu za uzazi,Vasektomi. Haya ni kwa mujibu wa Marie Stopes nchini Kenya. “Tumepokea mao...
20
Indonesia yapiga marufuku dawa za maji kwa watoto
Indonesia imepiga marufuku kwa muda dawa zote za maji kufuatia vifo vya watoto wapatao 100 kutokana na uharibifu wa figo. Haya yameripotiwa leo na wizara ya afya nchini humo. ...
20
Maambukizi 60 ya janga la kipindupindu yaripotiwa, Kenya
Kaunti 6 nchini Kenya, ukiwemo mji mkuu Nairobi, zinakabiliwa na janga la kipindupindu. Takriban maambukizi 60 yameripotiwa huku watu 13 wakilazwa hospitalini. Hii ni kulingan...
20
Shambulizi la Al-Shabaab laua watu wawili,Somalia
Watu wawili akiwemo mwanajeshi mmoja wamekufa katikati mwa Somalia kufuatia shambulio la kujitoa muhanga lililofanywa jana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kundi lenye mafun...
19
At arudi mjini kivingine
Oooooh! Bwana bwana siku hizi wabongo wameamua kurudi mjini kwa kutoa ngoma kali, kwa upande wa Msanii AT mfalme ambae alitikisa kupitia muziki wake wa mduara miaka ...
19
Mfahamu Bi Aziza mwanamke mwenye urafiki na nyoka
Nyoka huchukuliwa kuwa hatari kubwa, waerevu na mara nyingine hata kuhusishwa na imani potofu na uchawi katika baadhi ya jamii za Kiafrika. Kwa kawaida nyoka anakuwa juu ya or...
18
Ramaphosa afuta huduma ya maji na umeme kwa Mawaziri
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameondoa marupurupu yenye utata kwa mawaziri na manaibu wao ambao walikuwa zikisambaziwa umeme na maji bila malipo. Manufaa hayo yalizua...
18
Ndege ya Urusi yaanguka kwenye makazi na kuua 13
Watu 13 wakiwemo watoto 3 wamefariki baada ya ndege ya kivita ya Urusi kuanguka kwenye jumba la makazi katika mji wa kusini ya Yeysk, muda mfupi tu baada ya kupaa angani. Watu...
18
Maporomoko ya ardhi yaua watatu,Venezuela
Maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Venezuela yamesababisha vifo vya takriban watu watatu, huku uharibifu mkubwa ukiripotiwa huko el Castano, wilaya ya Maracay, mji mkuu wa jimb...
18
Karim Benzema ashinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Club ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia. Tuzo hizo ambazo zili...

Latest Post