Burna Boy awaomba radhi mashabiki zake

Burna Boy awaomba radhi mashabiki zake

Nyota wa midundo ya Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy ameomba radhi mashabiki wake baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha ambalo alipanda jukwaani muda ukiwa umeenda usiku wa kuamkia Jumatatu.

Katika taarifa yake, mwanamuziki huyo aliwalaumu waandaji kwa kuchelewa kwake kupanda jukwaani katika tamasha la Love Damini lililofanyika Lagos mkesha wa mwaka mpya.

"Ninaomba radhi kwa mashabiki wangu kwa jinsi ilivyokuwa, asante kwa kukaa na kustahimili dhoruba pamoja nami." Amesema Burna Boy

Eeeeeeeeeeh! Kibongo bongo je msanii gani unayempenda amewahi kuwa na unyenyekevu wa kuomba radhi kwa lolote? dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags