16
Wakutwa hai siku 9 baada ya tetemeko la ardhi, Uturuki
Siku tisa baada ya maafa ya tetemeko la ardhi Uturuki na Syria, wanawake watatu na watoto wawili wamepatikana wakiwa hai. Baadhi ya wanawake hao walitambulika kwa majina ya Me...
16
Tiwa Savage aibukia uigizaji
Mwanamuziki  kutoka Nchini Nigeria  Tiwa Savage ametangaza kuibukia kwenye filamu kwa mara ya kwanza kupitia Filamu yake aliyoipa jina la “Water & Garri&rs...
15
Erdogan aapa kuijenga Uturuki upya
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameapa kuijenga nchi hiyo upya kufuatiwa na tetemeko la ardhi  lililotokea usiku wa kuamkia February 6 ambalo limeleta uharibifu mkub...
15
Wahamiaji 73 wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya meli
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeandika kwenye mtandao wao wa Twitter  kuwa takribani wahamiaji 73 wameripotiwa kupotea na kudhaniwa kuwa wamekufa kufuatia ajal...
15
Nape: Zaidi ya laini laki 9 za simu zimefungiwa
Januari 2023 Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) ilitangaza kuzima huduma za Mawasiliano ya Laini zote ambazo hazijahakikiwa ambapo tarehe ya mwisho ilikuwa ni Februari 13, 2...
15
Aachiwa huru baada ya kukaa gerezani miaka 28
Mwanaume mmoja nchini Marekani aliefahamika kwa jina la Lamar Johnson mwenye umri wa miaka 50 alikaa gerezani kwa takriban miaka 28 kwa mauaji ambayo amekuwa akikana kutenda i...
15
Afukuzwa bungeni kwa kuvaa suti yenye madoa ya hedhi
Seneta wa Kenya Gloria Orwoba  alifukuzwa bungeni baada ya kuhudhuria kikao akiwa amevalia suti nyeupe iliyokuwa na alama za rangi nyekundu (kuashiria hedhi) katika kampe...
14
vijiji vyote Tanzania bara vitapata umeme kufikia desemba 2023
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said, amesema Mradi mkubwa unaoendelea wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili utapeleka huduma ya ...
14
Serikali yapiga marufuku vitabu 16 vya watoto
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda  amepiga marufuku vitabu 16 vya watoto kutumika shuleni kwa madai ya kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja LG...
14
Guinea yathibitisha mlipuko wa ugonjwa wa Marburg
Guinea ya Ikweta imethibitisha mlipuko wa kwanza kabisaa wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg. Waziri wa afya nchini humo Mitoha Ondo'o Ayekaba, amesema jana Jumata...
14
Kila kilichoibiwa kitapatikana
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeendelea kufanya operesheni ya Mtaa kwa Mtaa katika maeneo ya Bunju A na B na kufanikiwa kuwakamata Watu sita wanaodaiwa kujih...
13
Vifo vya tetemeko la ardhi Uturuki na Syria vyafikia 36,000
Zoezi la uokoaji likikaribia mwisho idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu iliyopita nchini Uturuki na Syria imeongezeka na kufikia zaidi...
13
Ndugai awataka wanachi kuacha kulalamika
Mbunge wa Kongwa Job Ndugai amewataka wananchi kuacha kualalamika na kujiletea maendeleo. Amesema jukumu la kwanza la Serikali ni kulinda Usalama wa Wananchi hivyo ni wajibu w...
13
Vita Ukraine yachangia bei kupanda
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Salum Awadh, amesema kupanda kwa chakula kunatokana na changamoto mbalimbali ikiwemo upatikanaji h...

Latest Post