03
Messi atumiwa ujumbe wa vitisho
Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa mwanasoka kutoka nchini Argentina Lionel Messi ametumiwa barua ya vitisho baada ya Watu wenye silaha kushambulia duka kubwa linalomili...
04
Zingatia haya katika uuzaji wa nguo mitandaoni
Amkeniii amkenii amkeeni mkafungue biashara hizo, kama tunavyojua bwana biashara ni asubuhi kuna wale wateja wanaokuja alfajiri wanaboa kidogo lakini ndo ujasiliamali wenyewe ...
03
Ndoa ya kafulila yavunjwa na mahakama
Ndoa ya wanasiasa machachari, David Kafulila na Jesca Kishoa imevunjwa rasmi na Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirithi na Ndoa baada ya ndoa hiyo kushindwa kurekebishika...
03
Nusu ya watu duniani watakua na unene unaozidi kufikia 2035
Ripoti maalum kutoka Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza itafikiwa hivyo ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema, zaidi ya Watu Bilioni nne wataathirika. Aidh...
03
Mwakilishi Jimbo la Mtambwe afariki
Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba  Habib Mohammed Ali,    amefariki wakati akiendelea na Matibab...
02
Messi atoa Iphone kwa wachezaji wenzake wa Argentina
Aloooooweeeh! Aloootenaaa! Sijui tuseme wiki hii ni wiki ya mwamba La Pulga au Messi kuupiga mwingi kwa kuwazawadia wachezaji wake na benchi la ufundi kwa kuwapatia simu za ip...
02
Kimbunga Fredy chauwa 14, Msumbiji na Madagascar
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga. Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu ...
02
Maandamano yazuka baada ya ajali ya Treni, Ugiriki
Maandamano yamezuka nchini Ugiriki kufuatia na ajali ya reli iliyosababisha vifo vya watu 43, huku wengi wakiiona kama ajali iliyokuwa ikisubiriwa kutokea. Waandamanaji hao wa...
01
Zaidi ya watu 20 wafariki katika ajali ya Treni
Treni mbili zimegongana kaskazini mwa Ugiriki na kupoteza maisha ya takriban watu 26 na makumi ya watu kujeruhiwa, Treni hiyo inayosemekana kuwa na abiria 350 ambapo iligonga ...
01
Erasto Nyoni awasaidia nauli timu ya majimaji
Beki wa kati wa klabu ya Simba SC Erasto Nyoni  baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli alifaniki...
01
Tinubu atangazwa mshindi wa urais Nigeria
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata mkubwa  nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka...
28
Elon Musk arudi kuwa tajiri namba moja duniani
Boss wa Makampuni ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk amerudi tena kuwa Tajiri namba moja Duniani baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana baada ya ku...
28
Obasanjo aitaka tume ya uchaguzi kuepusha hatari ya machafuko
Rais wa zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko yanayoendelea kuhusu kutokuwepo uwazi kwenye Matokeo ya Kura zilizopigwa ikiwa ni pa...
28
Tume ya uchaguzi yatuhumiwa kutokuwa na uwazi katika matokeo
Vyama vya Upinzani vya PDP na Labor Party Nchini Nigeria vimesusia mchakato wa Utangazaji Matokeo kwa madai kuwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeonesha kuwepo kwa uchakachuaji...

Latest Post