Zaidi ya watu 20 wafariki katika ajali ya Treni

Zaidi ya watu 20 wafariki katika ajali ya Treni

Treni mbili zimegongana kaskazini mwa Ugiriki na kupoteza maisha ya takriban watu 26 na makumi ya watu kujeruhiwa, Treni hiyo inayosemekana kuwa na abiria 350 ambapo iligonga treni ya mizigo, huduma ya dharura ilisema.

Waokoaji wamekuwa wakifanya kazi ya kuokoa abiria na kuzima moto uliosababishwa na ajali karibu na jiji la Larissa jana Jumanne jioni.

Kufuatiwa na video zilizopostiwa na tovuti za habari za nchini zinaonyesha moto mkali na moshi mwingi unaofuka kutoka kwa mabehewa yaliyoharibika.

Mpaka sasa bado haijafahamika nini kilisababisha kugongana na treni hiyo ya abiria, iliyokuwa ikisafiri kati ya Thessaloniki na Larissa.

Chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags