Obasanjo aitaka tume ya uchaguzi kuepusha hatari ya machafuko

Obasanjo aitaka tume ya uchaguzi kuepusha hatari ya machafuko

Rais wa zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko yanayoendelea kuhusu kutokuwepo uwazi kwenye Matokeo ya Kura zilizopigwa ikiwa ni pamoja na Tume kusoma Matokeo ya Kura ya mkononi badala ya Tovuti ya Tume

Obasanjo amemtaka Muhammadu Buhari kufahamu kuwa kuna dalili za kuibuka Vurugu za Uchaguzi na kushauri Matokeo yote ambayo hayajakidhi Vigezo na yasiyokuwa na Uwazi yafutwe mara moja

Aidha, Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) wamesema Mchakato wa Utangazaji Matokeo umekosa Uwazi kutokana na Tume ya Uchaguzi (INEC) kutumia Matokeo yaliyokusanywa kwa Mikono badala ya Tovuti ya Tume.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post