Mbwa mwenye umri wa miaka 30 nchini Ureno ametajwa kuwa ndiye mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, shirika la Guinness World Records limeeleza.
Bobi ambae ni...
Ebwana, kwenye makala za kazi wiki hii nimekusogezea jinsi ya kushughulika na wafanyakazi wanaokosa maadili kazini.
Jambo hili huenda likawa sio geni kabisa kwako na haya mamb...
Ooooyeeeeeh! It’s another Sunday, kama nawaona wanangu wa kula bata mshajipanga mnaenda kukidibua wapi hahahah! ni time ya kupotea kama soksi moja. Haya tuachane na hayo...
Aloooh, happy new month bwana. Ikiwa tayari tumeingia katika mwezi wa mahaba bwana vipi kinaeleweka au kikubwa pumzi tu? hahahaha karibu sana kwenye makala za michezo na burud...
Hellow! Niaje niaje wanangu wa Mwananchi Scoop. I hope mko byee kabisa, haya wale wanangu wa kuchakarika wajasiliamali yaani tushasema sisi na biashara mpaka mtuue. Leo bwana ...
Pallazo pants (bwanga) ni moja kati ya mtindo wa suruali ambao umedumu kwa muda mrefu katika tasnia ya mitindo.
Kama ilivyo katika mitindo mingi ya mavazi inayoibuka, pallazo ...
Madaktari nchini Kenya wameondoa wembe unaodaiwa kusahaulika ndani ya tumbo la mwanamke kwa takriban miaka 11, gazeti la Daily Nation nchini humo limeeleza.
Tatizo hilo l...
Baraza la Madiwani Jijini Mbeya limesitisha usajili mpya wa Usafiri wa Bajaji kutokana na kuwa nyingi jijini humo kuliko Mahitaji pamoja na kusababisha Ajali mara k...
Taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge , Dkt. Tulia Ackson,ambapo amesema wanaotoa taaarifa za ukatili walindwe.
Dk Tulia ameyasema wakati akiwa anahutubia bunge tukufu la jamhuri ...
Uongozi mkuu wa Kanisa la Kiorthodox nchini Ethiopia (Synodi), ambalo ni Kanisa kubwa zaidi nchini humo, umetishia kuitisha mikutano ya kitaifa itakayoongozwa na mkuu wa Kanis...
Polisi nchini Kenya wamewakamata walimu sita wa shule ya msingi katika eneo la magharibi mwa nchi, kufuatia clip ya video iliyotrend mitandaoni ikiwaonyesha wanafunzi wakiiga ...
Askari Polisi nchini Zambia wamepewa ruhusa ya kuwakamata ambao watakataa kutekeleza sheria inayokataza matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo Sikioni (headphones) wakati w...
Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambapo amewataka wanaorekodi matukio na kuyarusha mitandaoni kuacha tabia hiyo.
“Nitoe wito kwa Ja...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) inayosimamia Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) imesema kuna kasoro kadhaa katika kuripoti kuhusu biashara hiyo haramu na huenda idad...