Zambia: Marufuku kutumia simu ukiwa unavuka barabara

Zambia: Marufuku kutumia simu ukiwa unavuka barabara

Askari Polisi nchini Zambia wamepewa ruhusa ya kuwakamata ambao watakataa kutekeleza sheria inayokataza matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo Sikioni (headphones) wakati wa kuvuka barabara ambayo faini yake ni 1,000, takribani 123,400 za Kitanzania.

Sheria hiyo inawataka watembea kwa miguu kutovuka barabara hadi watakaporuhusiwa na taa za kuongoza vyombo vya moto.

Aidha Mamlaka za Usalama zimeeleza kuwa 50% ya vifo vitokanavyo na ajali za barabarani vinawahusu watembea kwa miguu ambao hawazingatii sheria.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post