Vipo vitu vingi ambavyo vimekuwa vikitumia kwenye jamii na kuleta manufaa bila ya watumiaji kufahamu ni nani aliumiza kichwa kubuni vitu hivyo.Kutokana na hilo mfahamu raia wa...
Waswahili wanasema kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani, lakini ndani ya kazi hizo ambazo watu wanazifanya yapo mengi wanayokumbana nayo yanayowafikirisha kiasi cha kuac...
Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo.
Mrembo h...
Hahahahah! Make hapa kwanza nchike, wakati mimi na wewe msomaji tukitamani kumiliki mandinga na kutamba nayo mitaani kumbe kuna wenzetu wanayo ila hawawezi kuyatumia.
Basi bwa...
Mwanamume mmoja kutoka nchini California aliefahamika kwa jina la Casey Rivara amefariki baada ya kugongwa na gari ambapo alionekana akisaidia bata kuvuka barabara muda mfupi ...
Polisi nchini Uganda walifunga kwa muda mfupi barabara ya mwendokasi yenye shughuli nyingi zinazounganisha mji mkuu wa Kampala na uwanja wa ndege wa nchi hiyo baada ya hofu ya...
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imebaini kuwa vifo vingi hutokana na ajali nyingi ambazo zinasababishwa na uhaba wa vitendea kazi, taa za barabarani, kamera...
Askari Polisi nchini Zambia wamepewa ruhusa ya kuwakamata ambao watakataa kutekeleza sheria inayokataza matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo Sikioni (headphones) wakati w...
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji Haramu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya Barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji wa ...
Teknolojia ni elimu au maarifa yanayohusu uhandisi, ufundi, ujenzi na mbinu za uzalishaji wa vifaa na huduma katika jamii.
Asili ya neno hili ni lugha ya Kigiriki, ikimaanisha...