Wanaorekodi matukio na kuyarusha mitandaoni waache

Wanaorekodi matukio na kuyarusha mitandaoni waache


Kauli hiyo imetolewa na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  ambapo amewataka wanaorekodi matukio na kuyarusha mitandaoni kuacha tabia hiyo.

 “Nitoe wito kwa Jamii hasa wale wanaonasa matukio na kuyarusha kwenye Mitandao kutofanya hivyo kwa kuwa yanajenga Chuki na Taswira hasi kwa Walimu wote badala ya wahusika wachache

Ameongeza “Matukio yanapojitokeza taarifa zitumwe kwa Mamlaka husika ili hatua zichukuliwe badala ya kuleta taaruki kwa Jamii. Naomba nieleweke kuwa lengo si kuficha Taarifa bali kuzuia Taharuki na uhasama, hii pia si kwa Walimu tu bali kwa vyombo vyote.”


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post