Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya juzi Februari 1 wakiel...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss ametangaza kufanya ‘kolabo’ na wasanii wakubwa Africa akiwemo Diamond, Yemi, Stonebwoy na wengineo.Kupitia Inst...
Idadi kubwa ya wanaume walikuwa ‘single’ (waseja) nchini Marekani wanadaiwa kupitia kipindi kigumu cha 'kutokuwa na urafiki', ambapo takribani asilimia 20 ya wanau...
Mwanamme mmoja kutoka nchini #Brazil, aliyefahamika kwa jina la Magno Sergio Gomes (46) ameripotiwa kufariki baada ya kula samaki mwenye sumu aina na ‘#pufferfish’...
Baada ya mashabiki wa Nicki Minaj kutaja sehemu aliyozikwa mama mzazi wa ‘rapa’ Megan Thee Stallion, na kutishia kwenda kufukua kaburi hilo, na sasa mashabiki wa #...
Mwanamke mmoja kutoka nchini #Uturuki aliyejitambulisha kwa jina la #AY ameripotiwa kuomba talaka akidai kuwa mumewe aitwaye #CY hakuwa msafi wa mwili.#AY alifikisha ombi la t...
Njiwa aliyedaiwa kuwa jasusi (mpelelezi) wa China ameachiwa huru Jumanne Januari 30, baada ya kuzuiliwa na polisi kwa miezi nane. Njiwa huyo alikamatwa karibu na Bandari ya Mu...
Baada ya kuachia ngoma ambayo inafanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii hususani #YouTube, mwanamuziki Diamond ameonesha mzigo wa mavazi wenye jina la wimbo wake wa ‘Ma...
Baada ya mwezi mmoja kupita shabiki aliyerusha chupa kwenye gari ya #ManchesterUnited kabla ya mchezo dhidi ya ‘klabu’ ya #Liverpool amekamatwa.
Kwa mujibu wa The ...
Taasisi ya Kimataifa ya Uchambuzi wa Mifumo (IIASA), imeeleza kuwa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia bilioni 9.4 ifikapo mwaka 2070, licha ya kudaiwa kuwepo kwa ongeze...
Inadaiwa mara nyingi watu huongea ukweli pindi wakiwa na hasira au wamelewa, kutokana na dhana hiyo aliyekuwa mmiliki na muanzilishi wa kampuni ya Apple, Steve Jobs kutoka nch...
Dar es Salaam. Umewahi kuwaza kwamba ukuaji wa kasi wa teknolojia unaoshuhudiwa dunia ya leo, unazidi kugusa maisha yetu kadri siku zinavyokwenda?
Inaelezwa lengo la kukua kwa...