Aliyerusha chupa kwenye bus la Man U adakwa

Aliyerusha chupa kwenye bus la Man U adakwa

Baada ya mwezi mmoja kupita shabiki aliyerusha chupa kwenye gari ya #ManchesterUnited kabla ya mchezo dhidi ya ‘klabu’ ya #Liverpool amekamatwa.

Kwa mujibu wa The Sun News inaelezwa kuwa mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye jina lake halijawekwa wazi alirusha chupa kwenye bus la ‘klabu’ hiyo na kusababisha kioo kuweka ufa.

Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa #Anfield ulimalizika kwa ‘timu’ zote mbili zikiwa hazijapata bao na kuandika  sare ya 0-0.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags