Njiwa aliyedaiwa kuwa jasusi aachiwa huru

Njiwa aliyedaiwa kuwa jasusi aachiwa huru

Njiwa aliyedaiwa kuwa jasusi (mpelelezi) wa China ameachiwa huru Jumanne Januari 30, baada ya kuzuiliwa na polisi kwa miezi nane.

Njiwa huyo alikamatwa karibu na Bandari ya Mumbai, Mei mwaka jana, ambapo Polisi nchini humo walipata mashaka naye baada ya kukutwa na pete mbili za dhahabu na maandishi yaliyoandikwa Kichina.

Aidha kufuatiwa na uchunguzi iliofanyika ulithibitisha kuwa Njiwa huyo hakuwa na hatia ndipo akaondolewa tuhuma zote na kupelekwa porini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags