11
Dorah atoa povu wanaosema hawezi kuwa na mahusiano
Muigizaji wa #BongoMovie, ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘Jua Kali’  #Dorah ameeleza kuwa anachukizwa na watu wanaosema kuwa hawezi kuwa na Mah...
11
Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amesitisha show kwaajili ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa. Kupitia #Instastor yake...
11
Mashabiki wamtaka Alonso Liverpool
Baada ya ‘kocha’ #XabiAlonso kuiwezesha ‘klabu’ ya #BayerLeverkusen kuifunga ‘timu’ ya BayernMunich, mabao 3-0, jana Jumamosi kwenye &lsquo...
11
Valentine Korea Wanawake ndiyo wanawapa Wanaume zawadi
Inawezekana ikawa ni ajabu lakini huo ndiyo utaratibu ulioko nchini Korea Kusini ambapo ikifika Februari 14, siku ya Valentine, wanawake ndio wanawapa wanaume zawadi tofauti n...
11
PSG haitaki kumuachia Mbappe
‘Klabu’ ya #PSG wamempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao #KylianMbappe ikiwa ni katika njia ya kumzuia asiondoke kwenye dirisha lijalo kujiunga na ‘k...
10
Avunja rekodi kwa kuwa na pembe nyingi kichwani
Mwanaume mmoja kutoka pwani ya Praia Grande karibu na São Paulo nchini #Brazili, Michel 'Diabao' Praddo (47) maarufu kama ‘Shetani wa Kibinadamu’ amevu...
10
Lava Lava atoa shukrani kwa wasanii nje ya wasafi
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...
10
Apple yafikisha bidhaa 2.2 bilioni zinavyotumika duniani
Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo ...
10
Ajaribu kuweka rekodi ya kutafuna kwa muda mrefu
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.Imeripotiwa...
10
Sony music wanunua nusu ya kazi za MJ
Kampuni ya muziki kutoka nchini Marekani ‘Sony Music’ imeripotiwa kununua asilimia 50 ya nyimbo za marehemu Mfalme wa Pop Michael Jackson.Dili hilo limekamilika kw...
10
Ifahamu barakoa ya kidijitali, inauzwa dola 600
Kampuni ya Skyted imezindua barakoa ya kidijitali ambayo inaweza kumruhusu mtumiaji kufanya mazungumzo ya siri hadharani bila ya watu wengine kusikia.Barakoa hiyo iliyopewa ji...
10
Januari 2024 yavunja rekodi kuwa na joto kali
Kwa mujibu wa ‘Huduma ya Umoja wa Ulaya ya Kubadilisha Tabianchi ya Copernicus’ kufuatiwa na ripoti yake iliyotolewa hivi karibuni imeeleza kuwa Januari 2024 ndiyo...
10
Man United mbioni kufunga kamera kwenye jezi za wachezaji
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kuwawekea wachezaji wao ‘kamera’ katika ‘jezi’ wakati wa ‘mechi’ kwa lengo la kuruhusu ma...
09
Ice cream inayouzwa tsh 16 milioni
Kampuni inayohusika na utengenezaji wa Ice Cream kutoka nchini Japan ya Cellato imetengeneza ice cream ya bei kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Byakuya’, inayogharimu d...

Latest Post