Apple yafikisha bidhaa 2.2 bilioni zinavyotumika duniani

Apple yafikisha bidhaa 2.2 bilioni zinavyotumika duniani

Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo imefikisha zaidi ya bidhaa 2.2 bilioni ambazo zinatumiaka duniani kote.

#Cook ameeleza kuwa kwasasa kampuni hiyo imevunja rekodi ya kuwa na bidhaa zaidi katika historia ya #Apple, ambapo mpaka kufikia Februari mwaka huu kampuni hiyo imeongeza bidhaa milioni 200.

Ikumbukwe kuwa kampuni ya Apple inamiliki bidhaa mbalimbali zikiweomo Macs, Iphone, iPads, Smart watch, Vision Pro waliyoizindua mwaka huu na zinginevyo.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post