Januari 2024 yavunja rekodi kuwa na joto kali

Januari 2024 yavunja rekodi kuwa na joto kali

Kwa mujibu wa ‘Huduma ya Umoja wa Ulaya ya Kubadilisha Tabianchi ya Copernicus’ kufuatiwa na ripoti yake iliyotolewa hivi karibuni imeeleza kuwa Januari 2024 ndiyo mwezi wenye joto kali zaidi duniani kote.

Ambapo imeeleza kuwa joto hilo lilikuwa la kihistoria katika utabiri wa hali ya hewa huku hali ya joto duniani ikipanda hadi 1.7°C, sababu kubwa ikitajwa kuwa ni ongezeko la viwanda.

Aidha wanasayansi wamewataka wamiliki wa viwanda kupunguza uzalishaji wa gesi chafu ili kukomesha ongezeko la joto duniani.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post