Ajaribu kuweka rekodi ya kutafuna kwa muda mrefu

Ajaribu kuweka rekodi ya kutafuna kwa muda mrefu

Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.

Imeripotiwa kuwa Maame anampango wa kuweka rekodi hiyo ya kutafuna kwa muda mrefu ndani ya siku saba, ambapo mpaka kufikia sasa ameshatumia zaidi ya masaa 7.

Artise Maame alijiandaa kuweka rekodi hiyo tangu 2023, huku mara ya kwanza alitangaza kutaka kuweka rekodi hiyo ikiwa ni Januari 28 mwaka huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post