Tunaweza kusema Desemba 17,2024, imeanza vibaya kwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchi Martha Mwaipaja, kufuatia tuhuma alizorushiwa na mdogo wake aitwaye Beatrice Mwaipaja, ak...
Mwanamuziki Jay-Z alijitokeza hadharani kwa mara ya kwanza akiwa na familia yake katika onyesho la Disney la Mufasa la ku premier filamu ya 'The Lion King' huko Los Angeles, M...
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye kwa sasa anashikiliwa kwenye gereza la ‘Metropolian Detention Center’, Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kugoma kula ch...
Mkali wa hip-hop kutoka Marekani Diddy amekanusha tuhuma zote zilizotolewa na aliyekuwa producer wake Rodney “Lil Rod” Jones akidai kuwa producer huyo alizitoa kwa...
Timu ya wanasheria wa Megan Thee Stallion inakanusha vikali madai yaliyotolewa na mpiga picha wa zamani wa msanii huyo Emilio Garcia kuhusiana na unyanyasaji wa kihisia na maz...
Mwanamuziki kutoka Marekani, #MeganTheeSTallion amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mpiga picha wake #EmilioGarcia kwa unyanyasaji wa kihisia na mazingira magumu ya kazi.
Emil...
Kampuni ya Usambazaji Muziki ya Ziiki Media imetoa maelezo na kukanusha malalamiko ya mwanamuziki Naseeb Abdul Diamondplatnumz yaliyodai kuwa kampuni hiyo imewazuia kuachia le...
Makazi ya nyota wa muziki wa hip-hop, Sean "Diddy" Combs, ya Los Angeles na Miami jana Jumatatu , Machi 25, yamefanyiwa upekuzi na Mawakala wa Usalama wa Taifa kama sehemu ya ...
Mwanamuziki wa hip-hop Diddy kutoka nchini Marekani, kwa mara nyingine tena ameingia kwenye tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.Awamu hii Diddy ametuhumiwa kumfanyia unyanyasaji...
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...
Mhandisi wa Program za #Google anayefahamika kwa jina la Liren Chen anatuhumiwa kumpiga mkewe hadi kumuua nyumbani kwake nchini Marekani.
Kwa mujibu wa New York Post Mhandisi ...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad kutoka nchini Saudi Arabia, Karim Benzema amemfungulia mashitaka Waziri wa Mambo ya Ndani Ufaransa Gerald Darmanin kwa kumchafuli...