Jumamosi ya jana Desemba 21, 2024 wasanii Diamond Platnumz na Nandy walipata show ya kutumbuiza kwenye harusi nchini Kenya, performance ambayo inaelezwa kuwa ya muda mfupi lak...
Wanamuziki wa Hip Hop ambao walitawala vichwa vya habari duniani kote Drake na Kendrick Lamar wametajwa kuwa ndio wasanii wa Rap walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2024.Kwa...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited italazimika kulipa pauni 60 milioni ili kumpata mchezaji wa klabu ya Crystal Palace F.C, Michael Olise msimu ujao.
Kw...
Na Aisha Lungato
Niaje niaje watu wangu wa nguvu, i hope mko pouwa kabisa, kama ilivyoada kila wiki tunawasogezea vitu adimu katika anga za biashara, mada ya leo kila mtu itam...
Aliyekuwa mwanamitindo maarufu nchini Italia, #RobertoCavalli mwenye umri wa miaka 83 maarufu kama ‘King of leopard print’ amefariki dunia jana Jumamosi.
Cavalli a...
Baada ya kununua jumba la kifahari kwa dola 35 milioni kwenye kisiwa cha Star kilichopo Miami nchini Marekani mwaka 2023, ‘rapa’ Rick Ross ameripotiwa kufanya mare...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold&rsquo...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #ASAPRock amefunguka mbele ya mashabiki juu ya ujio wa Album mpya ya mpenzi wake #Rihanna baada ya kuulizwa na mashabiki nchini Ufaransa.
Kw...
Muigizaji wa #BongoMovie, ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘Jua Kali’ #Dorah ameeleza kuwa anachukizwa na watu wanaosema kuwa hawezi kuwa na Mah...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.Imeripotiwa...
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
Moja kati ya viungo muhimu kwenye mwili wa mnyama Simba ni ulimi wake ambao anautumia kwa namna nyingi, ulimi huo humrahisishia mambo mengi ambayo humuwezesha kuendelea kuishi...
Sultan Kosen ambaye ni mkulima kutoka nchini Uturuki kwa sasa ndiye anashikilia rekodi ya kuwa mwanadamu mrefu zaidi duniani.
Kosen ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 41 anataj...