Palace watangaza dau kwa Man U kumchukua Osile

Palace watangaza dau kwa Man U kumchukua Osile

Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited italazimika kulipa pauni 60 milioni ili kumpata mchezaji wa klabu ya Crystal Palace F.C, Michael Olise msimu ujao.

Kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa sababu ya Man U kumtaka mchezaji huyo imetokana na kiwango bora alichokionesha Palace kwa kushika rekodi ya kufunga mabao 7 na assist 4 katika mechi 15 pekee.

Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akihitajika kwa muda mrefu na klabu hiyo ambayo inataka kuimarisha safu yao ya ushambuliaji msimu ujao.

Olise ambaye amewahi kucheza katika klabu ya Arsenal aliingia Palace mwaka 2021 kutokea timu ya Reading Fc.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags