13
Billnass afungukia ishu yake, mkewe na Diamond
Mwanamuziki William Lyimo 'Billnass' amesema kabla ya kwenda kwenye tamasha lolote ambalo atakuwa amealikwa kitu cha kwanza ambacho huwa anaangalia maslahi ya tasnia kabla ya ...
10
T.I na mkewe wafutiwa mashitaka
Mkali wa ngoma ya ‘Live Your Life’, T.I na mkewe Tinny Harris wameripotiwa kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakiwakabili ya unyanyasaji wa kingono waliyoyafanya mwaka...
18
Kizz Daniel adaiwa kuachana na mkewe
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
10
Mashemeji wacharuka, Wadai kanye anamchukulia mkewe kama mradi
Baada ya mwanamuziki KanyeWest na mkewe Bianca Censori kutokuwa kwenye maelewano mazuri kwa hivi karibuni, marafiki wa mwanamke huyo wanadai kuwa Kanye anamchukulia mkwewe kam...
10
Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.Wawili hao wameweka wazi s...
09
Kyle Walker na mkewe kusuluhisha matatizo yao
Baada ya kutokuwa kwenye maelewano kwa muda wa miezi mitano mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity, #KyleWalker na mkewe #AnnieKilner wameonekana kuwa katika hatua...
07
Ashitakiwa kwa kumuua mkewe kisa bili ya hospitali
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...
03
Tyson atarajia kupata mtoto wa nane
Bondia maarufu kutoka nchini Uingereza #TysonFury, ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa nane na mkewe #ParisFury. Fury ameweka wazi suala hilo kupitia ukurasa wake wa ...
19
Kizz Daniel awatolea uvivu wanaomsema mkewe
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
03
Sadio Mane akiwa na mkewe Aisha Tamba
Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapu...
29
Beki wa Man City akiri kumsaliti mkewe
Beki wa pembeni wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker amekiri kumsaliti mkewe #AnnieKilner kwa kuzaa mtoto wa kike kwa siri nje ya ndoa. Kyle mwenye umri wa mi...
22
Mhandisi wa Google matatani, Tuhuma za mauaji
Mhandisi wa Program za #Google anayefahamika kwa jina la Liren Chen anatuhumiwa kumpiga mkewe hadi kumuua nyumbani kwake nchini Marekani. Kwa mujibu wa New York Post Mhandisi ...
15
Atembea kilomita 450 kwa miguu baada ya kugombana na mkewe
Mwanaume mmoja kutoka nchini Italy amewashangaza wengi baada ya kutembea kwa miguu maili 280 (450km) kutoka mji wa Como hadi mji wa Fano, ambao ni sawa na umbali wa Dar es Sal...
11
Beki wa Man City abwagwa na mkewe
Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker, #AnnieKilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa. Kwa mujibu wa Th...

Latest Post