Kizz Daniel awatolea uvivu wanaomsema mkewe

Kizz Daniel awatolea uvivu wanaomsema mkewe

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiwajibu mashabiki hao wanaojadili muonekano wa mkewe Oliwatobiloba Daniel.

Maneno hayo yamekuja baada ya Kizz Daniel kumposti mkewe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kutangaza kuwa ameoa miaka minne aliyopita na hivyo hawezi kumuacha






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags