Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto

Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto

Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.

Wawili hao wameweka wazi suala hilo kupitia ukurasa zao za Instagram kwa ku-share video pamoja na picha zikionesha Hailey kuwa ni mjamzito.

Aidhi kupitia posti hiyo baadhi ya ma-staa kutoka nchini Marekani akiwemo Kim Kardashian na mwanamitindo Gigi Hadid wakimpongeza Bieber na mkewe katika upande ‘Komenti’ kwa hatua hiyo waliyofikia.

Ikumbukwe kuwa wawili hao walifunga ndoa ya siri huko New York mwaka 2018.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags