17
Sony kuuza haki miliki za Spider Man kwa Marvel Studio
Mwaka 2024 umekuwa mgumu kwa kampuni ya Sony Pictures, hasa katika mauzo ya filamu zake tatu ikiwa ni pamoja na Kraven the Hunter, Venom: The Last Dance, na Madame Web, baada ...
02
Tiffany Haddish: niliwahi kuuza nguo zangu za ndani ili nipate maokoto
Mwigizaji na mchekeshaji kutoka Marekani Tiffany Haddish amefichua kwamba wakati alipokuwa anajitafuta aliwahi kutangaza kuuza ngu...
13
Chelsea kuuza wachezaji ili kumsajili Osimhen
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
04
Acha aibu, hizi ndizo fursa za kujikwamua kimaisha
Kama inavyofahamika kuwa suala la ajira, limekuwa janga la Taifa, asilimia kubwa ya wahitimu wamekuwa wakilia nalo. Waswahili wanasema uoga wako ndiyo umasikini wako, na hili ...
01
Adidas kuuza mzigo wote wa Kanye
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya michezo na mavazi ya Adidas kutoka nchini Ujerumani imetanganza kuuza bidhaa zote za Kanye West zilizopo ndani (stock). Hii...
07
Ufahamu mgahawa ambao mteja hujipangia bei ya chakula
Nchini Austria katika mji wa Vienna kuna mgahawa uitwao ‘Der Wiener Deewan’ ambao unatoa ofa kwa walaji wa chakula cha jioni 'diner' kulipa vile ambavyo wao wanaon...
25
Safari ya Xouh, Kutoka kuuza duka mpaka kutusua kwenye bongo fleva
Leo tupo na binti mwenye kipaji kikubwa kwenye upande wa muziki wa Bongo Fleva, si mwingine bali ni Zulfa Mohamed Ibrahim, na jina lake maarufu ni Xouh, wengi walimfahamu kupi...
12
B2k afunguka kuuza nyanya
Mwanamuziki wa #BongoFleva, B2k Mnyama ameeleza kuwa biashara yake ya nyanya ambayo alikuwa anaifanya awali kabla ya kungia kwenye muziki kwa sasa haina nafasi. B2k ameeleza k...
15
Ashtakiwa kwa kuuza viungo vya miili ya wafu
Meneja wa chumba cha kuhifadhia maiti cha shule ya mafunzo ya kitabibu ya Harvard Medical School, bwana Cedric Lodge nchini Marekani, na wengine watatu wameshtakiwa kwa kununu...
30
Mbinu za kuuza na kupata oda katika biashara yako
Niaje niaje wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop, haya sasa tuendelee tulipo ishia, all in all week iliopita bwana tumefanya biashara haswa tusifichee, wenye kuuza nguo, vyakula, v...
14
Marufuku kuuza nyama isiyokaa kwenye jokofu
Marufuku hiyo imetolewa nchini Rwanda kuanzia  Machi 14, 2023 baada ya Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ubora, Ushindani na Ulinzi wa Walaji (RICA) kusema nyama ambayo hai...
04
Jela miaka 35 kwa kuiba na kuuza viungo vya maiti
Mmiliki wa chumba cha kuhifadhia maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 35 jela baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za miili bila ridhaa ya fam...
27
Je wajua ni kosa KUUZA MAJI
Kama ulikuwa haujui, basi wacha leo nikujuze.Je wajua kuuza maji ni kosa? Basi bwana kama una kisima chako cha maji na unawauzia majirani bila utaratibu, ipo siku unaweza kuis...
26
Shakira Zaid: Ajivunia Biashara ya kuuza nguo za Stara Mitandaoni
Na Aisha Lungato Niaje it’s another Tuesday natumai mko pouwaa wanangu wa mwananchiscoop. Siku ya leo bwana tunakuletea makala za biashara na kuangazia zaidi wanafunzi w...

Latest Post