Marufuku kuuza nyama isiyokaa kwenye jokofu

Marufuku kuuza nyama isiyokaa kwenye jokofu

Marufuku hiyo imetolewa nchini Rwanda kuanzia  Machi 14, 2023 baada ya Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ubora, Ushindani na Ulinzi wa Walaji (RICA) kusema nyama ambayo haijawekwa kwenye jokofu kwa saa 24 ina vimelea vinavyoweza kuambukiza Magonjwa kwa walaji.

Aidha Daktari wa Mifugo kutoka Shirika hilo, Mbabazi Olivier amesema madhara ya kula nyama iliyochinjwa muda mfupi uliopita ni kuwa bado kuna vimelea hai vya Magonjwa katika tishu za mwili wa mnyama

Sambamba na hayo, Tafiti za Kisayansi zimeonesha kuweka Chakula kwenye jokofu hakuui vimelea bali hupunguza ukuaji wa bakteria, na chakula kinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu kabla ya kuharibika


-


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post