B2k afunguka kuuza nyanya

B2k afunguka kuuza nyanya

Mwanamuziki wa #BongoFleva, B2k Mnyama ameeleza kuwa biashara yake ya nyanya ambayo alikuwa anaifanya awali kabla ya kungia kwenye muziki kwa sasa haina nafasi.

B2k ameeleza kuwa kwa sasa anataka angaalie muziki wake kwanza baadaye ndiyo atarudi kwenye biashara yake ya zamani kwa sabababu ndiyo ilimpatia nguvu ya kuingia kwenye muziki.

B2k kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Lala’ ambao unafanya poa katika mitandao ya kijamii huku ikiwa nafasi ya 4 kwenye mtandao wa YouTube.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags