07
Drake akubali kushindwa bifu lake na Lamar
Ikiwa umepita mwezi, bila mashabiki kusikia chochote kuhusiana na bifu la wasanii Drake na Kendrick Lamar, sasa inaonekana kama Drake amekubali kushindwa, baada ya kufuta maud...
11
Kesi ya kushindwa kulipa kodi ya Shakira yafutiliwa mbali
Uchunguzi wa pili kuhusu madai ya kukwepa kodi kutoka kwa mwanamuziki wa Colombia, Shakira umefutiliwa mbali na hakimu baada ya waendesha mashitaka wa Uhispania kutaka uchungu...
21
Mzava ajibu tuhuma za kumtapeli Kayumba sh 7 milioni
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
09
Zamaradi: kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha
Kutokana na baadhi ya mashabiki kutoka nchini #Nigeria kuumizwa na kitendo cha mastaa wao kutopokea tuzo yoyote ya #Grammy, mtangazaji Zamaradi Mketema ameyatoa ya moyoni huku...
19
Ada ya mtoto yamtokea puani muigizaji wa Family matters
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #DariusMcCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni. Nyota huyo wa #FamilyMatters mwenye ...
03
FIFA waondoa adhabu ya Simba
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea ‘klabu’ ya #Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa ‘klabu’ ya #Teu...
27
Diarra awashusha presha mashabiki, Aitabiria ushindi Yanga
Kikosi cha ‘klabu’ ya #Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam alfajiri ya jana na moja kwa moja kwenda kambini kujiandaa na ‘mechi’ ijayo ya Kundi D ya L...
11
Dereva taxi awanyoa abiria kwa kushindwa kulipa nauli
#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.Tukio hilo a...
30
Abu Salami: Davido anaishi maisha ya uongo
Mpiga ‘picha’ na mfanyabiashara #AbuSalami amedai kuwa msanii kutoka nchini #Nigeria #Davido hana pesa bali msanii huyo anaishi maisha ya uongo. Hii inakuja baada ...
25
Chris Brown afikishwa mahakamani kwa kushindwa kulipa mkopo
Mwanamuziki Chris Brown anakabiliwa na mashitaka ya kushindwa kulipa mkopo wa dola 2 milioni alizokopa kwenye ‘benki’ ya City National . Katika mashitaka hayo amba...
30
Twaha Kiduku akiri kupokea kichapo
Bondia ambaye ni marachache sana kupoteza mchezo akiwa ulingoni,  Twaha Kiduku amekili kupokea kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Asemale Wellem kutoka Afrika Kusini katik...
28
Kombe la Dunia lazua Ghasia Ubelgiji baada ya timu ya taifa kushindwa na Morocco
Polisi wa Ubelgiji wametumia nguvu kuyatawanya makundi ya watu katika mji mkuu Brussels katika ghasia zilizozuka kufuatia timu ya ...
27
Hizi hapa sababu za kushindwa kujenga uhusiano imara
Labda nianze na swali: Je umewahi kuwa na mtoko na mwanaume na baada ya kuwa naye karibu kwa miezi labda tuseme mitatu, sita au muda mrefu zaidi ya hapo ukamuona kuwa huyo n...
19
Mwanamke kushindwa kujenga uhusiano imara, sababu hizi hapa!
  Labda nianze na swali:Je umewahi kuwa na mtoko na mwanaume na baada ya kuwa naye karibu kwa miezi labda tuseme mitatu, sita au muda mrefu zaidi ya hapo ukamuona kuwa hu...

Latest Post