Twaha Kiduku akiri kupokea kichapo

Twaha Kiduku akiri kupokea kichapo

Bondia ambaye ni marachache sana kupoteza mchezo akiwa ulingoni,  Twaha Kiduku amekili kupokea kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Asemale Wellem kutoka Afrika Kusini katika mpambano ulio fanyika siku usiku wa kuamkia leo  jijini mwanza.

Twaha kutokana na kupoteza kwenye mchezo huo amewaomba radhi watanzania na mashabiki wake kwa ujumla. Twaha amesema,

“Ilikuwa sio bahati yangu mara nyingi nawafurahisha mashabiki wangu, nimekubali nimeshindwa jamaa ameshinda kihalali na nimejifunza nitafanyia kazi nilipokosea kikubwa asie kubali kushindwa sio mshindani”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags