Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET.
Katika taarifa iliyoto...
Kijana mmoja ambaye ni shabiki wa Arsenal ameonekana akimwaga machozi kutokana na ‘klabu’ anayoshabikia kuchapwa na #WesthamUnited bao 2-0, huku ikiwa ni mara ya k...
Mchekeshaji kutoka #Kenya #Eric Omondi inadaiwa huwenda akaingia katika siasa hivi karibuni kama mgombeaji wa kiti cha ubunge eneo la Lang'ata katika uchaguzi mkuu ujao, hiyo ...
Cristiano Ronaldo ameendelea kupokea heshima utoka kwa watu na ‘vilabu’ mbalimbali, awamu hii mchezaji wa #RealMadrid, mwenye namba saba mgongoni Vinicius Junior, ...
Bondia ambaye ni marachache sana kupoteza mchezo akiwa ulingoni, Twaha Kiduku amekili kupokea kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Asemale Wellem kutoka Afrika Kusini katik...
Manaume mmoja aliefahamika kwa jila la Magesa Ngereja amekutwa na hatia ya kupokea hongo kwa lengo la kuuza ardhi ya kijiji cha Kahangaza, kitongoji cha Kanyamlima mkoani Kage...
Kauli hiyo ameitoa Makamu mwenyekiti wa chama hicho ambapo hii ni mara ya kwanza kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kukiri kupokea ruzuku tangu kilipogoma kuichuku...
Mji mkuu wa Ujerumani, Berlin umetangaza kuwa uwezo wake wa kupokea wakimbizi umefika kwenye ukomo. Seneta wa mji huo anayehusika na kuwaingiza wageni katika mji wao, Kat...