Eric Omond kuingia kwenye siasa

Eric Omond kuingia kwenye siasa

Mchekeshaji kutoka #Kenya #Eric Omondi inadaiwa huwenda akaingia katika siasa hivi karibuni kama mgombeaji wa kiti cha ubunge eneo la Lang'ata katika uchaguzi mkuu ujao, hiyo ni kutokana na kujitolea sana katika eneo hilo.

Aidha mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akifanya shughuli za kujitolea, amejikuta akifikiria kugombea uongozi kutokana na hali ya kuchochewa na raia wa mji huo kwa kumtia moyo kwa anavyojitoa.

Eric amekiri kupokea maombi kadhaa ya kusaka msaada kutoka kwa wakazi wa #Lang’ata ambao mara kwa mara humjia wakiamini kuwa yeye ni mbunge wao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags