Vinicius atoa heshima kwa kuvaa kidani chenye picha ya Cr7

Vinicius atoa heshima kwa kuvaa kidani chenye picha ya Cr7

Cristiano Ronaldo ameendelea kupokea heshima utoka kwa watu na ‘vilabu’ mbalimbali, awamu hii mchezaji wa #RealMadrid, mwenye namba saba mgongoni Vinicius Junior, ameonesha heshima yake kwa CR7 kwa kutengenea kidani cha muundo wa namba saba huku nyuma ya kidani hicho akiwa ameweka picha ya Ronaldo akionekana anashangilia.

 Hii imetokana mara baada ya Real Madrid kuthibitisha kuwa Vini Jr atavaa ‘jezi’ namba 7 ambayo iliwahi kuvaliwa na fundi wa ‘soka’ CR7.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags